Translate

Thursday, August 9, 2012

Ushindi wa keen feeders kwenye maonyesho ya nanenane unahitaji pongezi kubwa.






Kwa kifupi tu ni kwamba, wafanyabiashara wengi kama sio wote Tanzania wanaweza kujifunza mambo mengi kutoka kwa Keen feeders.
Keenfeeders ni wataalam wa kilimo na mifugo ambao bidhaa zao zinanatengenezwa kwa utaalam wa hali ya juu. Mara ya kwanza nilipoona bidhaa za keen feeders na brand image yao kuanzia calenders, uniform, office, na package ya bidhaa zao sikuamini kama ni ya mtanzania.
 Na katika pitapita zangu kutembelea mabanda na wafugaji nanenane nikagundua kua wafugaji, wakuulima wengi na hata wafanyakazi wa Taso walikua na imani kubwa sana na Keen feeders. Huwezi kumueleza mfugaji kibaya chochote kuhusu keen feeders akakuelewa.
Na nilipofanikiwa kukutana na director wa keen feeders nkaelewa siri kubwa ya mafanikio ya brand yao. Director wao ni mskivu sana kuliko muongeaji, tofauti na madirector wengi Tanzania; wanapenda kujifanya wanajua hivyo kupoteza muda wote kuelekeza badala ya kujifunza maoni ya watu na kuyafanyia kazi yale yanayo faa. Wafanyakazi wa Keen feeders wakanidokeza juu ya heshima waliyokua nayo kwa boss wao na ilivyo rahisi kufanya nae kazi.
keep up keen feeders, you deserve the first position and the good news  is the result of the research Tycoon branding company did, shows there is so much glory  ahead of you to accomplish because so many people believe in you and your brand is so close to perfect.